Mwanzo / Kuboresha Website Iliyopo
Kuboresha Website Iliyopo
Website yako haieleweki, imepitwa na wakati au ni ngumu kutumia kwenye simu? Tuanze kwa kuipitia kabla ya kuamua nini kibadilishwe.
Pata Quotation ya Mradi WakoTatizo Tunaloangalia
Navigation isiyoeleweka na taarifa za zamani zinaweza kufanya wageni washindwe kupata wanachohitaji. Tutatofautisha matatizo ya content, layout na technical setup.
Kazi Inayoweza Kujumuishwa
Review ya kurasa muhimu, mpangilio mpya wa simu, kuboresha contact flow na kupanga content migration. Performance work itategemea findings na access inayopatikana.
Taarifa Tunazohitaji
Tuma URL iliyopo, kurasa muhimu na unachotaka kubadilisha. Access itajadiliwa kwa njia salama; usitume passwords kwenye questionnaire.
Hatua Za Kazi
Tunaorodhesha URLs na content ya kuhifadhi, tunakubaliana redesign, tunapitia preview, halafu tunapanga backup, redirects zinazohitajika na launch checks.
Mipaka Ya Scope
Hatubadili URLs bila mpango. Rankings zilizopo haziwezi kuhakikishwa; third-party systems, legacy code na migration kubwa zinahitaji scope yake.
Maswali Ya Mara Kwa Mara
Tutapoteza content ya zamani?
Tutakubaliana content ya kuhifadhi, kurekebisha au kuondoa na backup kabla ya launch.
Mnaweza kurekebisha bila kujenga upya?
Ndiyo, ikiwa review itaonyesha fixes ndogo zinatosha na mfumo unaruhusu. Quotation itafuata findings.
Huduma Nyingine
Kazi, gharama na muda vinakubaliwa kabla ya kuanza.
