Mwanzo / Website Za Restaurant Na Café

Website Za Restaurant Na Café

Weka menu, picha za chakula, saa za kufungua na directions sehemu ambayo mteja anaweza kuipata kwa simu.

Pata Quotation ya Mradi Wako

Tatizo Tunaloangalia

Menu kwenye picha za zamani inaweza kuacha mteja na maswali ya bei, upatikanaji na eneo. Panga taarifa zako ili ajue cha kuuliza au namna ya kufika.

Kazi Inayoweza Kujumuishwa

Menu categories, item descriptions, food photography, opening hours, directions na WhatsApp inquiries. Dietary information itawekwa kutokana na taarifa sahihi za biashara.

Taarifa Tunazohitaji

Leta menu ya sasa, bei zilizoidhinishwa, picha zenye ruhusa na areas za delivery ikiwa zipo. Biashara inawajibika kuthibitisha allergens na taarifa za chakula.

Hatua Za Kazi

Tunapanga menu, tunajenga preview ya simu, unakagua items na taarifa, halafu tunajaribu inquiry links kabla ya launch.

Mipaka Ya Scope

Ordering, delivery, inventory na malipo si sehemu ya menu website isipokuwa zimekubaliwa. Demo ya Kijani Kitchen ni biashara ya kubuni; haipokei oda au malipo.

Jaribu Demo Ya Kubuni

Maswali Ya Mara Kwa Mara

Menu website inapokea oda?

Inaweza kuanzisha mazungumzo WhatsApp. Cart, order management na payments zinahitaji scope tofauti.

Demo ni ya mteja wenu?

Hapana. Kijani Kitchen ni mfano wa kubuni unaoonyesha layout na menu interaction pekee.

Huduma Nyingine

Pata Quotation ya Mradi Wako

Kazi, gharama na muda vinakubaliwa kabla ya kuanza.

HATUA INAYOFUATA

Kagua Ombi. Chagua Njia Ya Kutuma.

Pitia maelezo yako hapa chini. Ukiwa tayari, fungua WhatsApp au email na utume ujumbe. Bado hatujapokea ombi hili.

Endelea WhatsAppFungua email