Mwanzo / Website Za Hoteli Na Malazi
Website Za Hoteli Na Malazi
Wasaidie wageni waone vyumba, huduma na eneo lako kabla ya kutuma ombi la malazi.
Pata Quotation ya Mradi WakoTatizo Tunaloangalia
Mgeni anahitaji kujua aina ya chumba, uwezo wake na jinsi ya kufika. Taarifa hizi zikiwa wazi, anaweza kuulizia akiwa na picha bora ya anachohitaji.
Kazi Inayoweza Kujumuishwa
Room pages, amenities, galleries, directions, contact details na direct inquiries zenye tarehe na idadi ya wageni kadiri scope inavyohitaji.
Taarifa Tunazohitaji
Leta picha za vyumba, room types, amenities, location na policies sahihi. Rates na terms zinahitaji mwenye biashara kuzikagua kabla ya publication.
Hatua Za Kazi
Tunapanga room content, tunakubaliana njia ya inquiries au booking provider, tunakagua mobile na kufanya handover ya majukumu ya kusasisha taarifa.
Mipaka Ya Scope
Website ya inquiries haithibitishi availability. PMS, channel manager, booking engine na payments zinahitaji integration tofauti; commissions za provider hazijumuishwi kimyakimya.
Maswali Ya Mara Kwa Mara
Mteja anaweza ku-book moja kwa moja?
Ikiwa booking integration imekubaliwa na kupimwa. Bila hiyo, website itatuma inquiry inayohitaji kujibiwa.
Ninaweza kubadilisha room rates?
Tutakubaliana kama utapewa editing access au updates zitafanywa kupitia maintenance arrangement.
Huduma Nyingine
Kazi, gharama na muda vinakubaliwa kabla ya kuanza.
